Kwa habari zilizo fanyiwa uchunguzi wa kina na kufuatilia nguzo zote za uandishi wa habari, tembelea blog yetu leo!!
Sunday, 10 May 2015
Monday, 4 May 2015
MAYWEATHER AMTWANGA MANNY PACQUIAO
Picha;Floyd Mayweather Jr amedhihirisha ubora wake kwenye mchezo wa ngumi baada ya kumtwanga kwa pointi hasimu wake wa muda mrefu Manny Pacquiao, kwenye mpambano uliokua na raundi kumi na mbili uliofanyika jijini Las Vegas Marekani.
Manny Pacquiao akijaribu kumrushia konde mpizani wake bila mafanikio
Floyd Mayweather Jr akijaribu kupangua konde kutoka kwa mpizani wake
Subscribe to:
Posts (Atom)