Picha;Floyd Mayweather Jr amedhihirisha ubora wake kwenye mchezo wa ngumi baada ya kumtwanga kwa pointi hasimu wake wa muda mrefu Manny Pacquiao, kwenye mpambano uliokua na raundi kumi na mbili uliofanyika jijini Las Vegas Marekani.
Manny Pacquiao akijaribu kumrushia konde mpizani wake bila mafanikio
Floyd Mayweather Jr akijaribu kupangua konde kutoka kwa mpizani wake
No comments:
Post a Comment